Mama Kanumba Alia Ukumbini…!

MAMA wa aliyekuwa staa wa filamu nchini Tanzania Steven Kanumba (The Great) juzi jijini Dar es Salaam alijikuta akiangua kilio hadharani kwenye hafla ya utoaji Tuzo za Filamu Tanzania kwa mwaka 2015 (Tuzo za TAFA 2015). Tukio hilo lilitokea mara baada ya kutangazwa kwa marehemu Steven Kanumba kutwaa tuzo ya msanii aliyechangia kiasi kikubwa kukua kwa tasnia ya filamu nchini …

Mama Kanumba na Lulu Ndani ya Mapenzi ya Mungu…!

Hivi karibu Msanii Mahiri na Nguli katika tasnia ya filamu nchini Elizabeth Michael almaarufu kama LULU ataibuka na filamu yake Mpya na yenye kusisimua iitwayo “MAPENZI YA MUNGU” ambapo moja kati ya washiriki katika filamu hiyo ni Bi Flora Mtegoha ambae ni Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii Nguli wa Kiume Hapa Bongo Marehemu Steven Kanumba. Filamu ya “Mapenzi ya Mungu” …