Na Mwandishi Wetu KITENGO cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR) leo kimezinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD). Akizinduwa utafiti huo leo jijini Dar es Salaam kwa …