TFF Yataja Viingilio Mtanange wa Taifa Stars na Malawi

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini TFF, limetangza viingilio vya mchezo wa siku ya jumapili kati ya Taifa Stars (Tanzania) dhidi ya The Flames (Malawi) utakaochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuwa ni tsh. 5,000 mzunguko na tsh. 12,000 kwa jukwa kuu. Kuelekea mchezo huo wa jumapili kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na …

Hatuna Tofauti ya Mpaka Kati ya Tanzania na Malawi – Waziri Malawi

Balozi wa Tanzania Nchini Malawi  Patrick Tsere Akizungumza na waandishi wa Habari kutoka Mbeya walipotembelea Ofisi za ubalozi Nchini Malawi. Baadhi ya Waandishi wakimsikiliza Balozi.  Balozi wa Tanzania Nchini Malawi  Patrick Tsere akijibu Taarifa ya waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mbeya .  Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mbeya wakifuatilia Hotuba ya Waziri wa Habari, Utalii na …