Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Wakutana na BASATA

Na Sixmund Begashe, Wa Makumbusho ya Taifa MAKUMBUSHO na Nyumba ya Utamaduni imekutana na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kufanya mazungumzo ya namna vyombo hivi vya Serikali vitakavyo weza kudumisha mashirikiano katika shughuli za kila siku ili kuhifadhi na kuendeleza Sanaa na Utamaduni wa Mtanzania. Akizungumza kwenye kikao hicho Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey L. Mngereza ameipongeza Makumbusho na …

Uturuki Kuisaidia Makumbusho ya Taifa Tanzania

Na Sixmund J. Begashe, Dar es Salaam NCHI ya Uturuki imekubalia kuisaidia Makumbusho ya Taifa katika nyanja za Utafiti, Uhifadhi, Maonesho ya vioneshwa vya kimakumbusho na hata katika Maonesho mbalimbali ya muziki na sanaa ili kuboresha na kuendeleza shughuli mbalimbali zinazo fanywa na Makumbusho ya Taifa nchini Tanzania. Ahadi hii imetolewa na Balozi wa Uturuki hapa Nchini Mh Yasemin ERALP …