Ujenzi Makao Makuu Mahakama ya Afrika Kuharakishwa

  Na Mtua Salira, EANA – Arusha RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) Jaji Augostino Ramadhani alikutana mwishoni mwa wiki na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu, Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine walijadili namna ya kuongeza kasi ya ujenzi wa makao makuu ya mahakama hiyo.   Tanzania kama mwenyeji wa mahakama hiyo, itajenga …