Wanawake Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi Kujiombea…!

  Na Dotto Mwaibale, Dar   WANAWAKE wa Kanisa la Moravian Usharika wa Mtoni Kijichi wanarajia kufanya maombi makubwa kwa ajili ya wanawake nchini, familia zao pamoja na taifa kwa ujumla yenye lengo ya  kumshuru mwenyezi mungu.   Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Mratibu wa tukio hilo Mwalimu Mary Anyitike alisema lengo la maombi hayo ambayo ni rami ni kumshukuru mungu kwa kuzaliwa …

Makanisa Singida Yawakemea Wabunge Bunge la Katiba

Askofu wa kanisa la Evanglist Assembels of God Tanzania (E.A.G.T) Singida mjini, John Mafwimbo akizungumza kwenye mkutano wa Injili uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Ukombozi mjini Singida.Pamoja na mambo mengi, askofu Mafwimbo amewasihi wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, kufanya mambo waliyotumwa na Watanzania na si vinginevyo. Na Nathaniel Limu, Singida MAKANISA ya Kipentekoste mkoani Singida, yameungana na …