Friends Rangers Kuivaa Majimaji ya Songea Dar

Mwandishi Wetu KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, kesho kinajitupa kwenye Uwanja wa Karume kuvaa na timu ya Majimaji ya Songea, katika mchezo wa Ligi Daraja la kwanza. Akizungumza Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa timu hiyo Asha Kigundula, alisema kuwa wanatarajia kupata upinzani mkali kutoka katika timu hiyo ambayo mpaka sasa ndiyo inaongoza ligi, wakati wao wakishika nafasi ya …