SBL Yazindua Mradi wa Maji kwa Wakazi wa Chang’ombe Dar

        Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, John Wanyancha akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya uzinduzi wa mradi huo.   KAMPUNI ya Bia Serengeti leo imezindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 uliopo katika eneo la Chang’ombe ‘B’ wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam ikiwa ni jitihada za kuwaletea maji …

Uchangishaji Fedha Uhifadhi Vyanzo vya Maji Mabwawa ya Kuzalisha Umeme

Na Daniel Mbega wa www.brotherdanny.com MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, amewaomba wadau wa maendeleo na uhifadhi wa mazingira kuisaidia taasisi ya Mfuko wa Udhamini wa Hifadhi ya Milima ya Tao la Mashariki (EAMCEF) ili kufanikisha uhifadhi wa vyanzo vya maji katika mabwawa ya kuzalisha umeme nchini. Dk. Bilal aliyasema hayo jana usiku …

Zantel Wajenga Kisima cha Maji Kituo cha Watoto Wetu Tanzania

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Pratap Ghose (katikati), akimkaribisha  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati akiwasili kwenye hafla ya kuzindua kisima cha maji safi katika Kituo cha Watoto Yatima cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka Dar es Salaam jana. DC Makonda akisaini katika kitabu cha wageni katika kituo hicho. Mmoja wa vijana wa …

Jiji la Dar Bado Limejaa Maji!

Kama picha zinavyoonyesha hapo juu, jiji la Dar limeendelea kutesa wakazi wake kwa madimbwi yaliyosheheni Kila kona baada ya mvua kunyesha. Hapo ni maeneo ya Mayfair Plaza karibu na TMJ Hospital. Ni wakati sasa kwa serikali kuhakikisha jiji(inchi) Ina mifereji endelevu, ili kupunguzia wananchi kadhia hii. Picha zote na Mpiga picha maalum wa dev.kisakuzi.com