Polisi Wadhibiti ‘Majambazi’ Mtaa wa Samora na Nkruma Dar

 Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa.  Watuhumiwa hao wanne wa  ujambazi  wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia ni askari Polisi.  Askari kanzu (katikati), ndiye anadaiwa kuwadhibiti majambazi hayo kabla ya kujificha chini ya uvungu wa taxi zinazoegeshwa jirani na Mnara wa Saa katika makutano ya barabara ya Uhuru, Samora na Nkruma.  Gari …

Majambazi Wavamia Kituo cha Polisi Stakishari, Wapora Silaha

WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi wamekivamia kituo cha Polisi Stakishari kilichopo eneo la Ukonga jijini Dar es Salaam majira ya saa tatu usiku na kuuwa askari pamoja na kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi inasemekana watu hao wamevunja chumba cha kuhifadhia silaha na kuiba silaha kadhaa nyingi aina ya SMG zilizokuwa zimehifadhiwa kituoni …

Majambazi Wavamia Polisi, Wauwa Askari na Kuiba Silaha

MAJAMBAZI wasiojulikana idadi yao usiku wa kuamkia leo wamevamia Kituo cha Polisi Ikwiriri Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani na kuwauwa askari polisi wawili pamoja na kupora silaha adhaa zilizokuwa zimehifadhiwa kituoni hapo. Taarifa zilizotufikia kutoka eneo la tukio zinasema majambazi hao wasiojulikana idadi yao wakiwa na silaha mbalimbali majira ya saa nane kasorobo za usiku wa kuamkia leo walivamia …