JK Ateuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani

RAIS wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, Aprili 30, 2025 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema. Taarifa hiyo imewataja majaji hao kuwa ni Jaji Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella …