Zijue Faida Tatu za Tendo la Ndoa!

  “Watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara, huwa hawa umwi umwi hovyo”, anasema Dkt.Yvonne K. Fullbright, mtaalam wa afya ya tendo la kujamiina. Baada ya nukuu hii kutoka kwa mtaalam, sio ajabu basi tukisikia kwamba faida kuu ya kwanza ni kuimarisha uwezo wa mwili wako kupambana na maradhi (strengthen your immune system). Uchunguzi uliofanyika Chuo Cha Wilkes huko …

Tabia Kuu Tano Za Watu Waliofanikiwa Kimaisha!

Kwanza, kabla sijaendelea embu tuwekane sawa kuhus hii falsafa ya “kufanikiwa kimaisha”, ina maana gani haswa? Ukweli ni kwamba watu wengi wakisikia fulani amefanikiwa kimaisha, basi moja kwa moja wanafikiri au wanaamini mtu huyo atakuwa na pesa nyingiiii au kwa maneno mengine, mtu huyo ni tajiri fulani hivi. Pamoja na kwamba pesa ndio mtatuzi wa mahitaji mengi hapa duniani, lazima …

Kitabu Kilichobadili Mtazamo wa Maisha ya Zitto Kabwe

MWAKA 2014 nimesoma vitabu 53 na nimefanya uchambuzi wa vitabu 21 kupitia safu ya Kitabu na Kalamu ya gazeti la Raia Tanzania kila Jumatatu. Tangu nimeanza utaratibu kuchapisha idadi ya vitabu nilivyosoma huu ni mwaka wa tatu sasa. Mwaka 2012 nilisoma vitabu 31, mwaka 2013 vitabu 13 na 2014 vitabu 53. Mwaka 2014 niliuanza kwa changamoto nyingi sana katika maisha …