Afikishwa Mahakamani kwa Kumjeruhi na Chupa Mkewe

  Na Woinde  Shizza, ArushaMFANYABIASHARA maarufu wa madini  jijini Arusha, Venance  Moshi (30) amefikishwa mahakamani na kusomewa maelezo ya awali katika kesi  inayomkabili ya kushambulia na kumjeruhi  mkewe kwa chupa usoni, wakiwa wanasuluhishwa na baba mkwe, mgogoro wa ndoa yao. Mbele ya hakimu, Devota Msofe wa mahakama ya Wilaya Arusha, mwendesha mashtaka wa serikali, Agnesi Hyera alieleza mahakama hiyo kuwa mnamo marchi 11 mwaka 2016 katika maeneo ya …

Wanakijiji Kilombero Kumburuza Mwekezaji Mahakamani

 Mwangalizi wa LHRC, Wilaya ya Kilombero, Godfrey Lwena (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu mgogoro wa ardhi dhidi mwekezaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya Union ambaye anadaiwa kuchukuwa ardhi yao ambapo kesho wanakusudia kufungua kesi Mahakama ya Ardhi dhidi yake kwa msaada wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Kulia ni mkazi wa kijiji hicho, Jimmy Mwasenga.   Mkazi wa …

Mtuhumiwa Dawa za Kulevya Auwawa Akitoroka Mahakamani

HABARI ambazo zimetufikia hivi punde zinasema mtuhumiwa mmoja dawa za kulevya raia wa Nigeria amepigwa risasi na kufa papo hapo baada ya kujaribu kutoroka chini ya ulinzi wa askari. Tukio hilo limetokea leo majira ya asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu ya jijini Dar es Salaam ambapo mshtakiwa huyo pamoja na wenzake walikuwa wamefikishwa kwa ajili ya kusikilizwa …