Ujenzi Makao Makuu Mahakama ya Afrika Kuharakishwa

  Na Mtua Salira, EANA – Arusha RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) Jaji Augostino Ramadhani alikutana mwishoni mwa wiki na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu, Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine walijadili namna ya kuongeza kasi ya ujenzi wa makao makuu ya mahakama hiyo.   Tanzania kama mwenyeji wa mahakama hiyo, itajenga …

Mfungwa Tanzania Afungua Kesi Mahakama ya Afrika

Na Mtua Salira, EANA MTANZANIA anayetumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha, Alex Thomas amepeleka hukumu yake mbele ya Mahakama ya Afrika (AfCHPR) akidai kwamba haki zake za msingi zimekiukwa. Madai hayo yatasikilizwa Desemba 3, 2014 na mahakama hiyo inayoketi katika kikao chake cha kawaida mjini Addis Ababa, Ethipia, linaripoti …