Mahakama ya Afrika Yahamasisha Walesotho

Na Mtua Salira, EANA, Arusha MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) inafanya ziara ya siku mbili nchini Lesotho kwa lengo la kuishiwa nchi hiyo kuhamasisha kazi za mahakama hiyo nchini humo. Kazi hiyo inayofanyika kati ya Julai 6 na 7, mwaka huu, pamoja na mambo mengine itatembelea maofisa wa ufalme huo wakiwemo Waziri Mkuu, mawaziri wa Mambo ya …