Na George Binagi-GB Pazzo MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Novemba 25 mwaka jana, katika Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara, iliyofunguliwa na aliekuwa mgombea ubunge katika jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Christopher Ryoba Kangoye. Katika kesi hiyo, wajibu maombi walikuwa ni Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini John …
Mahakama Kuu ya Tanzania Yasaidia Wahitaji
Na Aron Msigwa-MAELEZO JAMII imeaswa kujenga utamaduni wa kuwasaidia watu na makundi yenye mahitaji maalumu hususan wafungwa walio magerezani na wasiojiweza ili kudumisha upendo na kuyafanya makundi hayo kujiona yanathaminiwa katika jamii. Wito huo umetolewa jijini Dar es salaam na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mahakama Kuu ya Tanzania Bw. Nurdin Ndimbe wakati akikabidhi msaada wa vyakula na …
Mahakama Kuu Yatupa Ombi la Zuio Bunge la Katiba
HATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imelifukuza mahakamani ombi dogo la Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea lilokuwa likiiomba Mahakama hiyo itoe amri ya zuio la muda la kulizuia Bunge Maalum la Katiba linaloendelea na vikao vyake Dodoma lisiendelee na vikao vyake hadi Kesi ya Msingi aliyofungua mahakamani hapo itakaposikilizwa na kuamriwa. Uamuzi huo umetolewa Leo na jopo la …