Sherehe Mahafali Kidato cha Sita Sekondari ya Wasichana Weruweru…!

    Wahitimu wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Wasichana ya Weruweru wakiimba wakati wakielekea ukumbini kwa ajili ya kuanza rasmi kwa sherehe ya kuwaaga. Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru Rosemery Tarimo akimuongoza mgeni rasmi katika mahafali ya 31 ya kidato cha sita, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Joel Raulant (kulia) …