Magonjwa ya Moyo Bado Yachangia Vifo Vingi Tanzania

KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania vilifikia idadi ya watu 19,083, au asilimia 4.33% ya idadi ya vifo vyote. Na takwimu hizo zilionesha idadi ya wanaofariki ni watu 117.64 kati ya watu 100,000, huku takwimu hizi zikiiweka Tanzania katika nafasi ya 87 ulimwenguni. Magonjwa haya …