UGONJWA wa mishipa ya moyo (CAD) ni aina ya ugonjwa wa moyo unaowakumba wengi, huongoza kusababisha vifo kwa wengi ikiwemo wanawake na wanaume. Ugonjwa hutokea wakati mishipa ya ateri inayosambaza damu kwenye misuli ya moyo inapokakamaa na kuwa nyembamba. Hii ni kwa sababu ya kujengeka kwa kolesteroli na vitu vingine kama utando kwenye kuta za ndani ya moyo. Kujijenga huku …