Meneja Mwendeshaji wa Taasisi ya MO Dewji, Francesca Tettamanzi (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa uongozi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha inayohudumia watoto wenye kansa nchini na waandishi wa habari katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa fedha kwa ajili ya watoto wenye kansa iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za MeTL Group jijini Dar es Salaam. Wa …
Multiple Myeloma Muuaji wa Kimyakimya Tanzania
KILA MWAKA kesi mpya zinazohusiana na ugonjwa wa saratani huripotiwa kuwa chanzo kikuu cha vifo vingi nchini Tanzania. Wataalamu wanatabiri hatua madhubuti zisipochukuliwa mapema kukabiliana na ugonjwa wa saratani, kutakuwa na ongezeko kubwa la vifo vitokanavyo na ugonjwa huo. Kulingana na utafiti uliofanyika hivi karibuni juu ya magonjwa ya saratani unaonyesha kuwa, saratani ya mapafu na saratani ya kinywa ndizo …