Wafanyabiashara Mwanza Kukumbwa Magonjwa ya Mlipuko

Na Kibada Kibada – Mwanza WAFANYABIASHARA ya samaki na bidhaa nyingine za maliasili katika soko la Samaki la Mwalo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemeala Jijini Mwanza wako hatarini kupatwa na Magonjwa ya mlipuko hasa wakati huku mvua zinazoendelea kunyesha kutokana na changamoto ya uchafuzi wa mazingira uliopo katika soko hilo. Mbali ya uchafuzi huo pia zipo changamoto nyingine za uhaba wa …