Tanzania Yaendelea Kufanikiwa Mapambano Dhidi ya Ugonjwa wa Trachoma

Na Aron Msigwa –MAELEZO. WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeeleza kuwa licha ya Tanzania kuendelea kupata mafanikio katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Vikope (Trachoma) jamii bado inalojukumu la kuendelea kuzingatia na kufuata kanuni za afya kwa kufanya usafi wa mwili na mazingira ili kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huo. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam …

Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu Yanavyoigharimu Tanzania

Dr Alok Ranjan, mtaalamu wa magonjwa ya mfumo wa fahamu na uti wa mgongo kutoka hospitali ya Apollo akiongea na waandish wa habari katika cliniki iliyoanza tarehe 11 na kuendelea mpaka tarehe 13 katika hospitali ya Hindumandal. Bwana Hafidhi Rashid Waziri, mmoja wa wagonjwa waliofanyiwa upasuaji wa uti wa mgongo na Dr Alok Ranjan katika hospitali ya Apollo Hyderebad akiongea na waandishi wa habari katika Klinik …

Mlipuko Magonjwa ya Kuambukiza Kambi za Wakimbizi Kigoma…!

 Baadhi ya wakimbizi wakiwa wamewasili Kigoma  Wakimbizi kutoka Burundi wakisubiri huduma mbalimbali za kijamii  Mmoja wa wakimbizi akiwa anapata matibabu  Hapa watoto wa wakimbizi wakijipikia Chakula , katika mazingira hatarishi  Mamia ya wakimbizi wakiwa wanatafakari hatima yao  Hii ndio hali halisi ya vyoo ambavyo vimechangia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu Wafanyakazi wa Shirika la Oxfam wakishusha vifaa kwa ajili ya …

Magonjwa Kama Ebola Kuendelea Isumbua Dunia-UN

NAIBU Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), J. Eliasson ameliambia Jopo la Watu Mashuhuri linaloongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kuwa hakuna shaka duniani kuwa magonjwa ya milipuko, kama vile Ebola, yataendelea kuisumbua dunia katika miaka ijayo na hivyo ni lazima maandalizi yafanyike kukabiliana na hali hiyo. Aidha, Naibu Katibu Mkuu huyo amelitaka Jopo …

Magonjwa Sugu ya Ini na Upandikizaji Wake

INI pamoja na kuwa chombo kikubwa katika mwili wa binadamu pia ni kiungo muhimu kwa ajili ya kazi za kimwili kwa maana iyo ni vigumu kwa mtu kuishi bila Ini. Kutokana na maendeleo katika mbinu za kisasa za upasuaji, kwa sasa upasuaji unafanyika kwa watu wengi zaidi kuliko miaka ya nyuma kwa kuwa watu wengi wako tayari kufanyiwa upasuaji kutokana …

Serikali Kuja na Mpango wa Kutibu Magonjwa Yasiopewa Kipaumbele

Na Magreth Kinabo – Maelezo SERIKALI inaandaa mpango wa kutoa huduma za magonjwa yasiyopewa kipaumbele (NTD,s) kwa pamoja ili kuweza kufikia watu wengi kwa kupunguza gharama. Hayo yamasemwa leo na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma  za Kinga, kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Neema Rusibamayila wakati akifungua mkutano wa tatu wa wa siku tatu wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele leo unaoendelea kwenye hoteli …