Magolikipa Tanzania Wawachapa TASWA FC 3-0

Na Mpalule Shaaban KAMPUNI ya Twiga Cement ya jijini Dar es Salaam, jana imefanikiwa kuzindua rasmi Chama cha Wachezaji wa Nafasi ya Golikipa wanaoshiriki ligi kuu ya Tanzania, ambapo katika uzinduzi huo timu hiyo ya Makipa ilicheza mchezo wa Kirafiki dhidi ya Timu ya Kombaini ya Waandishi wa Habari TASWA F.C. uliofanyika kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama jijini Dar es …