Maofisa Magereza Wanolewa Kuhusu Takwimu

  Na Veronica Kazimoto, Morogoro WITO umetolewa kwa Maafisa wa Ngazi za Juu wa Jeshi la Magereza kutoka vitengo mbalimbali vya Makao Makuu ya Jeshi hilo kuwahimiza maofisa waliopo chini yao kutumia takwimu mbalimbali zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ili zisaidie katika kuandaa mipango na kutoa maamuzi mbalimbali ya kazi zinazofanywa na jeshi hilo.   Wito huo umetolewa …