MAGARI yanayojiendesha bila ya dereva kushika usukani yataanza kusambazwa duniani kabla ya muda uliotarajiwa. Hiyo inatokana na makubaliano yaliyofikiwa na kuondolewa kwa kipengele cha sheria za usalama barabarani ambacho kilikuwa kinazuia gari kujiendesha bila ya kuongozwa na binadamu. Kipengele hicho katika makubaliano ya Umoja wa Mataifa, kilisababisha utafiti uliofanywa kwa muda mrefu wa kutengeneza magari ya aina hiyo kukwama, lakini …