Ilala Kudhibiti Uzito wa Magari, Kujenga kwa Zege Barabara…!

Na Mwandishi Wetu, Dar HALMASHAURI ya Ilala imepanga kuunda kitengo kitakachodhibiti uzito wa magari kwa kuweka mizani zinazohamishika katika maingilio yote ya barabara kuu za kuingia ndani ya halmashauri hiyo kudhibiti magari yanayozidisha uzito na huharibu barabara. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Ofisa Uhusiano wa halmashauri hiyo, Tabu Shaibu na kuongeza kuwa kitengo hicho maalumu kitafanya …