Bonite Bottlers Wawasaidia Waliokumbwa na Mafuriko Wilayani Moshi

Meneja mwajiri wa kampuni ya Bonite Bottlers, Joyce Sengoda akiwasalimia wananchi katika vijiji vya Mikocheni, Kilungu na Chemchem vilivyofikwa na mafuriko hivi karibuni wakati uongozi wa kampuni hiyo ulipofika kwa ajili ya kutoa msaada. Meneja Masoko na mauzo na wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd Christopher Loiruk akizungumza wakati wa kukabidhi msaada kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni katika vijiji hivyo. Meneja masoko na …

Sababu za Mafuriko Kila Sehemu Dar es Salaam Zatajwa

MVUA zinazoendelea kunyesha nakusababisha mafuriko na hasara kubwa jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini zimetajwa kuwa ni moja ya ushahidi wa udhaifu wa miundombinu ya kweza kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo ni janga kubwa duniani kwa sasa. Haya yalisemwa na FORUMCC; shirika linalijihusisha na masuala ya mabadiliko ya Tabianchi. Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kupoteza maisha mpaka sasa kutokana mafururiko hayo …

Benki ya NMB Yawasaidia Waliokubwa na Mafuriko Moshi

Meneja wa Benki ya NMB kanda ya kaskazini Vicky Bishubo akizungumza wakati wa kukabidhi msaada wa kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni ukanda wa chini wilayani Hai. Msaada wa magodoro uliotolewa na Benki ya NMB kwa waathirika wa mafuriko yaliyotkea hivi karibuni wilayani Hai. DC Mtaka,Mbunge Mbowe na Meneaja wa NMB ,Bishubo wakifurahia msaada huo. Msaada mwingine uliotolewa ulikuwa …

Mvua Zaua Watano Dar, Mamia Hawana Makazi, Mafuriko Kila Kona…!

MVUA kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo tangu juzi imesababisha vifo vya watu watano huku mamia wakikosa makazi baada ya nyumba zao kubomolewa. Mvua hiyo iliyofikia kipimo cha milimita 132.5 kwa mujibu wa vipimo vilivyofanywa katika kituo cha Shule ya Msingi ya Maktaba, ilisababisha barabara kujaa maji na nyingine kuharibika na madaraja kadhaa kukatika. Mkurugenzi Mkuu wa Hali ya Hewa, …

Mvua Zaleta Mafuriko Maeneo ya Vijijini Mkoani Kilimanjaro

Mafuriko makubwa yamevikumba vijiji saba kikiwemo kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri miundombinu pamoja na makazi ya watu kujaa maji. Mbunge Lucy Owenya akitembelea maeneo yaliyo athirika na mafuriko hayo. Mbunge Lucy Owenya akitizama sehemu ambayo wananchi walilazimika kuibomoa kwa kushirikiana na uongozi wa kiwanda cha TPC ili kuruhusu maji kupita. Eneo lililobomolewa ili kuruhusu maji ya mafuriko kupita. …