Na Eleuteri Mangi UZEE na kuzeeka ni dhana inayoelezea hatua ya mwisho ya makuzi ya binadamu kuanzia utoto, ujana hadi kufika hatua ya mwisho ya makuzi ambayo ni uzee. Binadamu ni miongoni mwa viumbe hai ambao hupitia hatua hizo katika makuzi yake, mwanasikolojia Erick Erickson aliyeishi kati ya miaka ya 1902-1994 amebaisha kuwa binadamu hupita hatua nane za makuzi hayo …