WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewahakikishia wadau wa Maendeleo kuwa Serikali ya Awamu ya Tano iko tayari kupokea changamoto na ushauri utakaoiwezesha kutimiza adhma yake ya kuwa na miundombinu bora na yakisasa itakayoiwezesha nchi kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. Akizungumza katika kikao cha pamoja kati ya wataalam wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi …
Tanzania Miongoni mwa Nchi Zisizo na Furaha Diniani
TANZANIA ni miongoni mwa nchi kumi za mwisho kwa viwango vya furaha kwa mujibu wa Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya mwaka 2016 ambayo imetolewa leo. Orodha hiyo imebainishwa katika ripoti iliyotolewa na Shirika la Maendeleo Endelevu ya ‘Sustainable Development Solutions Network’ (SDSN) ilioandaliwa kwa kuzingatia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na …
China ‘Yamwaga’ Mabilioni Miradi ya Maendeleo Tanzania
JAMHURI ya Watu wa China, Oktoba 24, 2014, imetangaza neema kubwa kwa Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutoa dola za Marekani milioni 85 kwa ajili ya shughuli za maendeleo na kuisaidia Tanzania kufanya mageuzi ya viwanda. Neema hiyo ya China kwa Tanzania imetangazwa na Rais Xi Jinping wa nchi hiyo katika mazungumzo rasmi ya Kiserikali kati yake na ujumbe wa …