Ajali Lori Yazua Moto, Wateketeza Maduka, Magari

TAARIFA zilizotufikia zinasema kuna ajali imetokea maeneo ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, ambapo Lori la mafuta limegonga nguzo ya umeme kabla ya kuzua moto mkubwa ambao umeteketeza takribani maduka saba na magari eneo hilo. Taarifa zaidi zinasema ajali hiyo imetokea maeneo ya Kivesa, karibu na duka la John Shayo ambapo Lori hilo liligonga nguzo ya umeme na kupinduka kabla …