BUNGE la Tanzania hatimaye limepitisha sheria mpya mbili na muhimu za uchimbani madini ambapo kwa pamoja zina lengo la kufanya mapinduzi makubwa katika sekta ya madini. Sheria hizo mbili zinafuatia mzozo wa miezi miwili kati ya serikali na Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingeraza ya Acacia, kufuatia madai kwuwa kampuni hiyo imekuwa ikikosa kulipa kodi. Kupitia sheria hizo sasa …
Ripoti ya Mchanga wa Makontena ‘Wawasomba’ Vigogo, Yumo Chenge, Ngeleja na Mwanyika…!
WAKATI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akikabidhiwa ripoti ya pili ya Kamati Maalum ya Kuchunguza Masuala ya Kisheria na Kiuchumi Kuhusiana na Mchanga wenye Madini unaosafirishwa nje ya nchi yakiwemo makontena 277 yaliyozuiliwa na Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam, baadhi ya viongozi waliotajwa kuhusika kwa namna moja ama …
Maonesho ya Madini na Vito Kufanyika Mererani…!
Na Woinde Shizza, Arusha WACHIMBAJI wa madini ya vito nchini wametakiwa kushiriki katika maonyesho ya wachimbaji wadogo wa madini ili kuweza kutumia fursa hiyo ya kuuza na kupanua wigo wa kupata masoko ya ndani na nje ili kuweza kukuza uchumi wao na pato la taaifa. Hayo yameelezwa leo na kamishina wa madini kanda ya kaskazini Elius Kayandabila wakati …