Madereva Wawaadhibu Tena Watanzania Nchi Nzima kwa Mgomo

 Mabasi yakiwa yameegeshwa Kituo cha Mabasi Ubungo baada ya madereva kuwa katika mgomo wa kimasilahi Dar es Salaam jana. Mgoma huo umefanyika nchi nzima ukihusisha na daladala hivyo kuleta adha kwa wananchi.      Wananchi wakitembea maeneo ya Jangwani kutokana  na mgomo huo.    Hali ilivyokuwa stendi ya Ubungo.  Baadhi ya madereva, wapiga debe na makondakta wakikimbia huku wakiimba wanaonewa …