Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Ileje Mkoani Songwe Haji Mnasi akiwa darasani kufundisha wanafunzi wa shule msingi alizotembea katika ziara yake. Na Fredy Mgunda, Ileje KATIKA hali isiyozoeleke kwa watumishi wengi wa Idara ya Elimu wilayani Ileje mkoani Songwe kwa Mkurugenzi Mtedaji wa Halmsahauri ya wilaya hiyo kwa kuingia kwenye baadhi ya shule za msingi na kufundisha. Mkurugenzi …