Madaktari Waokoa Maisha ya Watoto Pacha Walioungana

TIMU ya madaktari wa watoto katika hospitali ya rufaa ya Bugando wameungana ili kuokoa maisha ya mapacha walioungana. Mapacha hao wamezaliwa na Elena Paulo, mwenye umri wa miaka 20, Januari 3, mwaka huu katika hospitali ya hospitali ya mkoa ya Mara na baadaye kuhamishiwa katika hospital ya rufaa ya Bugando mkoani Mwanza kwa ajili ya matibabu zaidi. Watoto hao walikuwa …

Tanzania Yaomba Msaada wa Madaktari Kutoka China

*Yashukuru ujenzi hospitali ya magonjwa ya moyo TANZANIA imeiomba Jamhuri ya Watu wa China kuongeza idadi ya madaktari wake inaowatuma Tanzania kama msaada kutoa huduma ya tiba kama njia ya kuzidi kusaidia kukabiliana na upungufu wa madaktari nchini. Aidha, Tanzania imeishukuru China kwa kujenga hospitali kubwa inayoweza kulaza wagonjwa 100 kwa wakati mmoja wa magonjwa ya moyo na yenye uwezo …

Mgonjwa wa Ebola Marekani Mahututi, Madaktari Wakwama…!

HALI ya Mgonjwa wa Ebola aliyegundulika hivi karibuni nchini Marekani inaendelea kuwa mbaya huku madaktari wanaomtibu wakihaha kutafuta dozi za kumwanzishia mgonjwa huyo. Thomas Eric Duncan ambaye ni mgonjwa pekee wa Ebola nchini Marekani aliyegundulika kuugua ugonjwa huo hali yake inazidi kuwa mbaya huku kukiwa hakuna vidonge vya dawa za majaribio ambavyo yasemekana vinaweza kupambana na virus vya ugonjwa huo. …