Mada Maugo na Kalama Nyilawila Kuzipiga Machi 8

MABONDIA wenye upinzania mkali Mabondia Mada Maugo pamoja na Kalama Nyilawila wanatarajia kupanda jukwaani kuzipiga ili kumaliza ubishi. Pambano hilo linatarajia kufanyika Machi 8, 2015 katika Ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es Salaam. Wakati huo huo mabondia wenye uzito wa juu nchini Aliphonce Mchumiatumbo na Iddi Kipandu ‘Iddi Bonge’ watapambana Feb 14 katika ukumbi wa P.T.A sabasaba wakigombania ubingwa …