RC Makonda Aagiza Uchunguzi Ufanywe Ujenzi wa Machinga Complex

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda (kulia), akikagua vizimba katika Jengo la Machinga Complex Dar es Salaam jana, baada ya kufanyika kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa kilichoketi jana kujadili uendeshaji wa biashara wa katika jengo hilo pamoja na kamati ya mkoa iliyoundwa kuchunguza mkataba wa jengo.  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, …

Machinga Complex Yawaka Moto Dar….!

SOKO maharufu la kisasa la wafanyabiashara ndogondogo Machinga Complex lililopo jijini Dar es Salaam limewaka moto kwa baadhi ya maduka na kuteketeza baadhi ya mali za wafanyabiashara. Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, RPC M. Minangi alisema taarifa za awali zinaonesha chanzo cha moto huo ni fundi aliyekuwa akichomea moja ya mageti ya maduka kusababisha moto ambao …