Na Benedict Liwenga, Maelezo – Dodoma UMOJA wa Machifu Tanzania (UMT) kupitia wawakilishi wake, umewasilisha nyongeza ya mapendekezo yake kuhusu Katiba Mpya kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Bi. Samia Suluhu Hassan. Akiuwakilisha Umoja wa Machifu Tanzani, Chifu kutoka Magu John Nyanza alimueleza Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba kuwa wanaishauri Serikali kutayarisha mkakati wa Kitaifa wa …