Abiria Sasa Kupanda Mwendo Kasi Dar kwa Kutumia Kadi…!

   Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MaxMalipo ambao wameingia ubia na UDART katika matumizi ya kadi hizo, Mhandisi Juma Rajabu (kulia), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Ofisa Habari UDART, Deus Bugaywa.   Na Dotto Mwaibale   MRADI wa Mabasi Yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam (UDART) imeanzisha huduma kwa wateja wao za kutumia kadi maalumu wakati wa kupanda mabasi …

Waziri Mkuu Majaliwa Akikagua Miundombinu ya BRT

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akieleza jambo mbele ya Waandishi wa Habari pamoja na wadau wa Ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo kwa haraka leo 19 Desemba, 2015 jijini Dar es Salaam. Moja ya barabara zitakazotumiwa na mabasi yaendayo kwa haraka (BRT). Moja ya vituo vitakavyotumiwa na mabasi yaendayo kwa haraka pindi mradi …

Mabasi ya Kasi Dar Kuanza Mwishoni mwa 2014

Na Frank Mvungi- Maelezo SERIKALI inatarajia kuanza kutoa huduma za awali (interim services) katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) kutoka Kimara mwisho hadi Kivukoni jijini Dar es Salaam mwaka 2015 baada ya miundombinu kukamilika. Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano wa Wakala wa mabasi yaendayo Haraka (DART), William Gatambi wakati wa mkutano na waandishi wa habari jana jijini Dar es …