Mwigulu Nchemba Ayapa Changamoto Mabaraza ya Wafanyakazi TIA

Na Aron Msigwa –MAELEZO SERIKALI imeyataka Mabaraza ya wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya juu kote nchini kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia weledi, kanuni na sheria zinazosimamia mabaraza hayo ili yawe chachu katika kuleta maendeleo ya Elimu na mabadiliko ya kiuchumi ya taasisi hizo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Fedha (Sera) Mwigulu Nchemba wakati akizindua Baraza la …