‘Mabalozi Nyumba 10 Kulinda Amani ya Nchi’

‘Mabalozi Nyumba 10 Wanaweza Kulinda Amani ya Nchi’ Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi MATUKIO ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu wakazi wa maeneo yao. Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa …