Mathias Chikawe Apewa Ubalozi wa Tanzania Japan

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteuwa Mathias Chikawe kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, imeeleza uteuzi wa Chikawe umeanza rasmi tangu Aprili 13, 2016. Kabla ya kupangiwa kituo hicho cha kazi, Balozi Chikawe aliteuliwa nafasi ya ubalozi Februari 15, 2016 pamoja na …

Kikwete ‘Awakoromea’ Mabalozi, Awataka Kutochanganya Dini na Siasa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kuna ushahidi sasa unaothibitisha kuwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wamekuwa wanachaganya dini na ziasa wakitumia dini kuunga mkono baadhi ya vyama vya siasa na shughuli za kisiasa nchini. Aidha, Rais Kikwete amewaomba mabalozi hao “kuiokoa” Tanzania katika majanga makubwa yanayoweza kuipata kwa kutumia dini …