Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita Mwenge bila kusimama. Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote. Kituo cha kwenda Tegeta, Kawe na Mbezi kikiwa kitupu muda huu. Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja. Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge Eneo ambalo Daladala zilikuwa nyingi sasa hakuna tena mabasi …