Lowassa Aweka Historia Dar, Msafara Wake Haijawahi Tokea

Na Mwandishi Wetu, Dar MSAFARA wa mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa ambaye pia anaungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD umejumuisha umati mkubwa wa wafuasi wa vyama hivyo jambo ambalo limelazimisha baadhi ya maeneo shughuli kusimama kwa muda na watu kujaa barabarani kutazama umani huo. Hali hii imeweka historia mpya …