Maalim Seif Hamad Kuzungumza na Zanzibar Diaspora

Zanzibar Diaspora Association inapenda kuwaalika kwenye mkutano wa hadhara utakao fanyika Siku ya Jumamosi July 30th – MAHALI: 42 Charles St Boston MA 02122. MDA: Kuanzia 5:pm mpaka 7:pm Mgeni rasmi ni Katibu mkuu wa CUF.  Maalim Seif Shariff Hamad Nyote mnakaribishwa

Maalim Seif Hamad Ahitimisha Ziara Marekani, Aelekea Canada.

Na Mwandishi Wetu Washington  MAKAMU wa Kwanza Mstaafu wa Rais wa Zanzibar na Katibu mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, jana alimaliza ziara yake nchini Marekani iliyochukua muda wa wiki moja. Maalim Seif alikhitimisha ziara yake hiyo kwa mkutano wa hadhara ambapo alipata nafasi ya kuongea na Watanzania waishio nchini humu. Katika Mkutano huo, mwanasiasa huyo gwiji nchini …

Maalim Seif Hamad Asema Upepo wa Kisiasa Unavumia CUF

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge wa Chama hicho Wilaya za Unguja katika ukumbi wa majid Kiembe Samaki.   Viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge  wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad wakati akihutubia kwenye ukumbi wa Majid Kiembesamaki. Kaimu …