Waziri Mkuu Akabidhi Msaada Uliochangwa Kusaidia Waliokumbwa na Mafuriko Iringa

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepokea misaada mbalimbali yenye thamani ya sh. milioni 85.88/- kwa ajili ya wananchi walioathirika na mafuriko kwenye vijiji vya kata ya Mlenge, tarafa ya Pawaga, wilaya ya Iringa vijijini mkoa wa Iringa. Misaada hiyo imetolewa na wadau mbalimbali kutokana na mafuriko ambayo yalibomoa nyumba 82 katika kitongoji cha Kilala, kijiji cha Kisanga na kuwaacha wananchi wake …

PSPF Zanzibar Wasaidia Waliopatwa na Maafa

PSPF Zanzibar Wasaidia Waliopatwa na Maafa  OFISA wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Tawi la Zanzibar Hazina Konde akitowa maelezo kwa niaba ya Mkufugenzi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa Magodoro kwa wananchi wa Jimbo la Chumbuni waliopata janga la mvua za masika katika shehia tatu za jimbo hilo, Chumbuni. Karakana na …

Mtwara na Mkakati wa Mawasiliano Kukabiliana na Maafa

OFISI ya waziri Mkuu kupitia Idara ya Uratibu wa Shughuli za maafa imewasilisha Mkakati wa Mawasiliano wa kukabiliana na maafa kwa mkoa wa Mtwara. Mkakati huo umetayarishwa kwa ajili ya kuhakikisha kwamba kunakuwa na Mtiririko unaoeleweka wa taarifa za tahadhari kabla ya maafa, wakati wa maafa na baada ya maafa kutokea. Mkakati huo umezingatia majanga ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa …

Wakazi wa Jangwani Waanza Kurejea Kwenye Makazi Yao Licha ya Maafa Yaliyowakuta!

Kama picha zilivyonaswa na thehabari hapo juu, inaonekana wakazi wa Jangwani wakirejesha makazi yao licha ya maafa makubwa yaliyowakuta kutokana na mvua kubwa zilizolikumba jiji la Dar hivi karibuni. Magodoro na vifaa mbalimbali vilionekana vikiwa vimeanikwa juu ya mapaa na kwingineko, tayari kuanza maisha mapya. Inasemekana serikali iliwahamishia wakazi hao eneo la Mabwepande, Manispaa ya Kinondoni, lakini inaonekana baadhi yao …