Mtafiti wa Magonjwa mbalimbali Dk. Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na wauguzi wa Hosptali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakati wa warsha juu ya matumizi ya maabara ya kisasa iliyofunguliwa mjini Moshi kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali. Baadhi ya Madaktari na wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakifuatilia …
Acacia Watumia Milioni 400 Kujenga Maabara Mkoani Shinyanga
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi,Mhandisi Philbert Rweyemamu(kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Bi Josephine Matiro wakati wa uzinduzuzi wa jengo la Maabara katika shule ya Sekondari Ngokolo lililojengwa kwa ufadhili wa kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Buzwagi. Jengo la Maabara lililojengwa kwa ufadhili wa Mgodi wa Kuchimba Dhahabu wa Buzwagi katika shule ya sekondari Ngokolo iliyopo wilani Shinyanga. …
Serikali ya Ireland Yaipa Tanzania Maabara Inayotembea
Mganga Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa jamiii, Dk. Magreth Mhando akisoma hotuba ya uzinduzi wa maabara itembeayo kwa ajili ya mafunzo ya upasuaji. Kulia ni Naibu Balozi wa Ireland nchini, Maire Matthews na kushoto ni Mkurugenzi wa ECSA anayeshughulikia Afya ya jamii Prof Yoswa Dambisya. Na Mwandishi wetu MGANGA Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, …
Pinda Apiga Marufuku Ukarabati Maabara, Ataka Mpya
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amepiga marufuku ukarabati wa maabara za shule za sekondari na kusisitiza kwamba ni lazima zijengwe mpya kama ambavyo Serikali ilielekeza. Ametoa agizo hilo leo Februari 21, 2015 wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa kata ya Ilula, mara baada ya kukagua ukarabati wa maabara za sayansi kwenye shule ya sekondari Ilula, wilayani Kilolo, mkoani Iringa. “Mmefanya …
Maabara ya Mkemia Mkuu Yabaini kg 6,428 za ‘Unga’
Na Fatma Salum MAELEZO WAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imefanikiwa kubaini jumla ya kilogram 6,428.12 za sampuli mbalimbali za dawa za kulevya kwa kipindi cha kuanzia Januari hadi Desemba 2013. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi ya Makosa ya Jinai na Vinasaba kutoka Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Bi.Gloria Omari katika mkutano …