Wanaodaiwa na HELSB Sasa Kuweza Kulipa kwa M-Pesa

Frank Mvungi – Maelezo BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) imeanzisha utaratibu mpya wa kurejesha mikopo kwa njia ya kutumia mtandao. Hayo yamesemwa leo jijini Das es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa bodi hiyo, Cosmas Mwaisobwa wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Akifafanua Mwaisobwa alisema kuanzia mwezi Septemba, 2013 Bodi …