TFF na Rambirambi Msiba wa Luteni Lugenge

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mwamuzi wa daraja la kwanza (class one), Luteni  David Lugenge kilichotokea Septemba 7 mwaka huu kwa ajali ya gari katika Wilaya ya Handeni mkoani Tanga.   Luteni Lugenge ambaye mwishoni mwa wiki alishiriki mitihani ya utimamu wa mwili kwa waamuzi wa Ligi Kuu alikuwa na ndugu yake Christopher …