Wanawake Wamlilia Maji Mgombea Mwenza wa CCM

Na Joachim Mushi, Longido WANAWAKE wa Wilayani Longido wamemsimamisha mgombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu njiani akielekea jukaani kuhutubia wananchi wakimlilia kuwatatulia kero ya maji katika Kata ya Longido ambapo kila familia imekuwa ikipata huduma hiyo mara moja kwa wiki hali ambayo wamesema haikidhi mahitaji. Bi. Samia alilazimika kusimama eneo ambalo wanawake walikuwa wamefurika wakichota …