DK Magufuli Asitisha Bomoabomoa Mwanga, Kikweni, Lomwe

Mwandishi Wetu WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli ametangaza kutobomoa nyumba zilizopo kando kando ya barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-hadi Lomwe km 40.6 na kusema kuwa barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha lami kwa kutumia upana wake uliopo sasa hivi. Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo ya faraja kwa wakazi wa Kikweni Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro kabla ya kuweka jiwe la msingi katika …