Tanzania Kupambana na Ukosefu wa Lishe bora

LISHE BORA ni msingi kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi ya nchi.Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha Saada Salum Mkuya alipokuwa akiwasilisha mada katika mkutano kuhusu suala la Lishe (Nutrition). “Ni muhimu kuelewa madhara yatakayompata mtoto ikiwa mama hata mnyonyesha mtoto huyo ikiwa ni pamoja na athari mbaya juu ya mwili na maendeleo ya mtoto kutoka mimba mpaka kufikia umri …